Thursday, September 8, 2011

lushoto is beautful

Lushoto is a very beautful place to stay, cool climate.friendly people and attractive sceneries. You won,t believe it. this is the irente view point.

Lushoto is wonderful

This is a true reflection on how situation factors may determine settlement establishment.
it is a normal thing in lushoto for people living in extremely steep slopes

Monday, September 5, 2011

Ni muhimu kuwatembelea wananchi wako!!!!!!

Mhe. Shekifu jana alitemebelea shule ya sekondari Shambalai katika moja ya ziara yake mjini Lushoto.
"Asanteni kwa kunichagua niko tayari kuwatumikia" - Shekifu

Sunday, September 4, 2011

hii ilikuwa siku ya iddi kama kawaida ilikuwa lazima vijana hawa wa shambalai wale nyama bidhaa adimu kwa wanafunzi.
yalikuwa ni maandalizi ya maakul siku ya maulid ya kuwaaga kidato cha nne wilaya ya lushoto kwa wanafunzi wa kiislamu jana jmosi.  sherehe chakula bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!
hii ndio shule bwana!!!!!!!!! wanafunzi wa tycs kanda ya milimani- lushoto wakiwa katika ukumbi wa st mary's mazinde juu wakati wa mahafali ya kidato cha nne 2011

Tuesday, August 30, 2011

Mabondeni mafuriko bora tuishi huku milimani!!!!!!

Ukiishi lushoto jiandae kuota vigimbi tu kwa hali hii.....acha kabisa!!!!!
Ila tunajitahidi sana kutunza mazingira, yaani kijani mwaka mzima.

Thursday, August 4, 2011

vijana wa shule waamua kuwajibika

vijana hawa kama walivyokutwa katika shule ya shambalai wakichanja kuni kwa ajili ya kupikia futari: si unajua mwezi mtukufu.......

lushoto kumeamka vibaya leo!!!!!!

kwa mtaji huu lazima watoto wawe wengi, ni baridi mbaya mno.

Wednesday, August 3, 2011

Lushoto Yaanza kuonekana

Kwa mara ya kwanza Lushoto imeingia kwenye ulimwengu wa Blog
For the first time Lushoto has entered in the world of blogs!!!!!!